Confession #542

#542 121

Nilijoin campo 2010 na nikapatana na jamaa, tukapendana sana. Kufika 2012 tulipata our first born. After two abortions, 2013 after college we broke up akaoa wa tribe yao. I was down kabisa because i really love him. I hustled nikalea mtoi alone without help of the man, he was employed with a salary of over 60k. Tukimaliza campo we had two bikes kama investment, alienda nazo zote.
i was heartbroken sikumove on. 2018 akarudi on his knees nikamsamehea juu alisema the wife alioa alimumess akaenda. After three months nikashika ball, akasema nitoe but nikakataa. He again disappeared.
Nilizaa mtoi na nimekua nikiwalea wote.
2017 nilipata job ya gava so I was not straining finacially hata kama niko na loans na service. The problem is sahii nko na jamaa tunafanya kazi nayee but he is married, his wife ako na shida so hakuna conjugal rights and thats where i come in. He doesnt finance me directly but huwa ananifanyia shopping every week.
We started the relationship February so hatujakaa sana.

May 12, 2020 |
2
0
2021-01-13 21:31:23

Bibi ako na shida ya HIV+?

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:23

Mbona unasumbukana ivi na kuna wanaune single huku nje. Anyway, I also have two kids. Si ukam tulee wote?

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:23

Sleeping with a married guy? Hope you end up regretting it bitterly.

Anonymous
0
0
Your Comment has been sent
Your Comment is too short
2000 characters left