Confession #951

#951 312

Nilikua na galfriend kwa miaka mbili tulipendana sana mpaka nkaamua yeye ndie ntaoa. Nilimfanyia kila kitu nawasaidia kwao lkn kuna wakati nilienda nairobi na yeye akaamua kuenda msa. Nilikaa nairobi miezi mitatu kurudi ako na boll akasema ni yangu. Nkaamua kulea mimba mpaka akajifungua, lkn baada ya miezi minne akaja kuniambia ujauzito haukua wangu na anapeleka mtoto kwa baba mtoto nifanyeje juu nmechanganyikiwa nmetumia zaidi ya 30k

July 15, 2020 |
1
0
2021-01-13 21:31:41

just let her go and forget , we have lost alot bro, but we still focus with life so 30k it just

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:41

Na mbona mnaona 30 k kama pesa kidogo yet tunashida kuona watu wakipost apa eti wachangiwe ata 50bob wanunue unga?ata 10 Bob ni pesa mingi sana because you have to sweat ndio uipate if you open a business with 30k iyo ni business kubwa sana

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:41

Kuna wanaume wengine sijui mlizaliwa mkiwa mme angalia nyuma ama vipi, yaani hata akili iko nyuma. An upright man can’t ask a question like this. It’s like seeing fire burning your house and still sitting in side it confused asking yourself what to do. Na tena uko hapa majestically asking what to do. I feel mercy on you men who can’t think beyond their nose.

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:41

Assume amekufa 30k c kitu mm nimebuyia mwanaume gari nikamuekea duka ameniacha na madharu mmmm

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:41

Hapa iko njaro.Ameamua kukutumia kubali.Afadhali kuachana Kama hamjakuwa kwa ndoa na huyo msichana.Anaonekana anayumba mwache aende kwa amani usibishane nae.Atakaa awe analeta vitu.Bora usiwahi oa huyo regardless unampendaje.Stay safe.

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:41

Mm hata xiezi ongea coz naxhomeka,na jitu likikufanyia ivo hata hio jitu ixione mema,ndio lijue hii dunia haina huruma .xhaniudhi xna hicho kijitu.

Anonymous
0
0
Your Comment has been sent
Your Comment is too short
2000 characters left