Nilikua nimeoleka 2005 na tukafanikiwa na watoto wa3 wawili ni twins waschana wako 14 na mdogo ako 10,so huyu msee alinifukuzanisha kwake, mapacha wakiwa mwaka moja unusu nikiwa na mimba ya miezi miwili,so nikarudi kwetu nikaishi kufanya kazi za nyumba hadi watoi wamekua walivyo,to cut short the story,uyu msee ameishi kutonisaidia wara kuwasaidia watoto,so ivi majuzi date 5/5/20, mjombake kanipigia simu eti wanapanga kuja kwetu tuongee turudiane naye,coz wameona kua mmi ndo nilikua tuishi naye, kwangu mmi naona ikiwa ni ngumu,coz nimeyapitia mengi juu ya kule kuniachanisha na watoi wangu,,cha kuharibia sana alikuja na mwanamke na akanambia nitoke kwake yye ameoa,chakuniudhisha sana ni eti hadi fare ya kutoka msa hadi Nakuru kwetu hakunipatiaga,nilihome na coast bus ya lift,,then hakuwahi saidia ata mtoi mmoja,sasa naonaga ni vigumu sana nimsamehe kwa aliyonitendea hata nikihubiliwa story ya kusamehe shualy hua nahisi ule ugumu wa msamaha moyoni
May 18, 2020 |
Men usually think ladies are Soo many you can mistreat one and marry the next, my brothers we are many but only a few are ready and willing to get married and settle both during happy n hard moments, you get a good wife you start mistreating her because you have seen a beutiful one my brother your wife was once more beutiful than the one you are seeing just try to make her more beutiful n live alone the ones you think out there
Pole sana mam, umehangaika na watoto akiponda Raha na mwanamke mwingine so sad and painful, mwambie aendelee kuponda Raha yake na yule mzuri mwenye alipata ndio akakufukuza na watoi, shame on him, usirudi. Ishi na watoto wako Kama mjane na mungu atakusaidia.
Msamee uwe na amani kwa roho ila mwambie ni ngumu kurudiana akitaka kusaidia watoto ni sawa ila asiwatoe kwako,Uchungu wa kusalitiwa huvunja mifupa, nafsi hukosa imani na akili hufurugana. Kila wakati hayo machungu hurudi akiliniMwambie asikuchunge umezoea free life na muda wa kurudiana uliisha. Labda muwe marafiki tu kujuliana hali ila sio wapenzi
Why turn back mama if u have managed to raise ur kids for 10 yrs what then can make u not survive the rest the man’s family have just found their son is desperate and will die without a family that’s why you’re their last option now it’s ur time to teach them a lesson bona hao wanawake wengine hawangevumilia
We get married to be happy, we bear children they be our happiness now that mliachana na u moved on with ur life y get back to him yet u got ur happiness that’s ur children achana nayeye…u never gets thirst until ur well is dry
First of all no zao ni za nini unakuanga naxo just change the line na ufocus na kusomesha watoto wako hawa wanaume wanakula raaha akishimba ndio anakunja saa hiyo umemlelea watoto .aende huko
Congratulations first for a good job …Mamii mungu halali na unaushuda ya kwamba mungu hulisha na kuvisha watoto wake …am sure haijakua rahisi kulea hao warembo …Kama Ni Mimi ningemsamehe huyo mwanaume sababu ya kupatia roho yako amani lakini singerudiana naye kimapenzi….amezurura huko nje hujui amejiletea laana kiasi ngapi ..anawatoto wangapi anawacha wakiumia huko nje Kama hao wako…singemrudia….but ukiamua msisahau kwenda vct
Tunaeza kupea advise milioni moja huku lakini the ultimate decision ni yako.Options ni mbili tu…either umrudie ama uendelee na maisha yako.But as for me, a cheat is always a cheat ….usimrudie!
My dear sr asante kwa kulea watoto wako mwanzo msamehe tu moyo wako uwe wazi na ndio Mungu atakufungulia mambo mengine kumbuka mume mwenyewe hajakuja kwako kukuomba urudi kwako usidhubuti kurudi huko alikutoa kwa nyumba akaoa sasa tena utarudi vipi ? Jipe shuguli and be proud of your kids Mungu ametayarisha ubavu wako mahali na miaka yako iliyoliwa na nzige itaregeshwa.
Do the kids know there father?even if they don’t know,it will come a time wakuambie wanamtaka,,, ,,then, even if hamtarudiana,learn to forgive if u don’t, u hold a lot your blessings,,,, everyone has a story to tell, we forgive to allow to forget n move on
Plz,don’t even think of going back to him, once he left u he will still leave u.move on with your life and ua children that God blessed u with.huwezi hata jua maybe ulipata ugonjwa alafu akuambukize bure.
Wanataka kukula mahari ya wasichana wako nothing else.