Confession #887

#887 116

Niliolewa 2010,to dis guy who got me pregnant nikiwa shule form 4,nilizaa mtoto mvulana,baadae tuliamua kuishi pamoja.Mh 😭😭 alianza kubadilika,alikuwa akilala inje akiniambia alikuwa job,akaanza kurudi na lipstick stains Kwa shati,kuongea na huyo dem mbeleyangu,so sikumoja nilipigia huyo dem nikaongea naye kama watu wazima akiniambia amemwacha siku mgombeza wala kumtusi God is my witness na nikama alimwambia mume wangu,my husband akamwambia when next I call anitusi,hapo ndio nilianza kuona Moto mak u huyo dem ni mkubwa wangu kiumri na watoto wake ni wakubwa, mkubwa ako form 3 na mdogo class 7,wangu ako grade 3. Hapo akaanza ku video venye wanatombana Kwa lodging den anakuja kuwoch nyumbani aki musterbate na namwona,sazingine ana woch na anajiforce kwangu 😭😭😭,juu yake nimeluzz mimba tatu at a period of 3 years since 2018 mwezi wa tano nilipoteza mimba yangu ya tatu n I couldn’t take it anymore juu babake alinitusi akaniambia amechoka kuzika damu kwake anataka watoto sio damu so nikaamua kumwacha.

July 2, 2020 |
2
0
Your Comment has been sent
Your Comment is too short
2000 characters left