Confession #755

#755 123

Niliolewa nikiwa na mtoto wangu(boy) nilikutana na luhya guy divorced na akakubali kunioa na mtoto wangu this guy had 5kids but wote walienda na Bibi ,2016nikamzalia (boy)mtoi akimaliza 3 mnths last born was yule jamaa akaletwa nikamkubali after 6 months akaendea second last sikucomplain Sasa last year Nov nimeletewa second na third Sasa shida ni Hawa wakubwa ni wajeuri unakaa unaskia tu kulia,ile shida kubwa ni ukibuy nguo ni ununulie wote ama ni vita,ukiwapa kazi wanakushtaki kwa baba yao inakuwa kelele.nimechoka.

June 4, 2020 |
2
0
2021-01-13 21:31:33

wooooooi, toka tu kwa iyo ndoa plz aina manufaa next ni mwanamke anakuja na ujui wanaongeanga nini akienda kupick hao watoi

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:33

These men eti alidivorce na Bibi kaeni Rada dadazangu kaa kwake kamua pesa na never never try kumzalia mtoto coz siku moja Bibi na watoto wake watarudi ña lazima utatoka

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:33

watoto kama ni boys wakubwa watamrejesha mamayao…be aware…why did you get married to a. man who’d separeted with wife?? were yu desperate for marriage???

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:33

Mwanaume ako na watoto 5 that a well developed family bibi alitoka due to common issues and at the moment the man started going for his kids it’s means they have solved the issues prepare your self the wife is on the way unless she is dead

Anonymous
0
1
Your Comment has been sent
Your Comment is too short
2000 characters left