Confession #4486

#4486 78

Nilipatana na a lady, a single mom of 2, so tulikuwa mafriends but kumbe yeye alikuwa na hidden intention.

Alikuwa na kutu alikuwa anataka nimtoe. But nikamshow kama ni Kwa friendly basis sawa koz I am not ready for a serious relationship. Akasema hata ivo ndio anataka koz hataki stress za relationships anataka tu Kulea watoi so tukuwe tu friends wakusaidiana other issues na kutoana kutu.

Akanishow hata nikipata girlfriend ama nioe nimuambie hataona mbaya ili ajitoe. So Imekuwa hivo, tunaokoleana hapa na pale, tumekulana pia several times. But Sasa yeye nikama anataka ikuwe seriousπŸ˜…πŸ˜‚ Hadi anafeel mbaya nikakaa bila kumkol, ama nikijoke nimepata mtu anasema kumbe sikuwa nampenda.

Sasa nashindwa mbona anataka ikuwe serious na hasemi, na Mimi siko ready for that. So I am planning kumtoka pole pole without hurting her feelings though Kuna venye tumeingiana sana na yeye😍.

So Kwani watu hawaezi kuwa na friendly matches?

April 13, 2024 |
3
1
2024-04-14 08:45:16

Friends with benefits. You shld f**k her 3 times a month only the first month. Coz u want confirm match to really believe umegula hiyo mali. Then from there only once a month. Otherwise kitakulamba.

Anonymous
0
0
2024-04-13 07:50:41

Hakuna vile uta treat dame poa akose kukufeel πŸ˜‚hiyo friends with benefits ni umilierπŸ˜… scam usherati😁

Anonymous
0
0
2024-04-13 07:50:18

mnatoanga wapi hawa watu asking for a friend

Anonymous
0
0
2024-04-13 07:49:58

Mjulus unites feelings unaskia apana haiezi kutoka πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Anonymous
0
0
2024-04-13 07:49:43

Bro ni kama iyo mechi unaicheza kama Mimi πŸ˜‚ congrats on that

Anonymous
0
0
2024-04-13 07:49:23

Siku atakushow ako bol ndo utatii

Anonymous
0
0
2024-04-13 07:49:03

π‘€π‘›π‘Žπ‘˜π‘’π‘™π‘Žπ‘›π‘Ž π‘˜π‘–π‘™π‘Ž π‘šπ‘Žπ‘Ÿπ‘Ž π‘™π‘Žπ‘§π‘–π‘šπ‘Ž π‘π‘œπ‘›π‘‘ 𝑖𝑀𝑒 π‘ π‘‘π‘Ÿπ‘œπ‘›π‘”,,,,π‘“π‘Ÿπ‘–π‘’π‘›π‘‘π‘  π‘€π‘–π‘‘β„Ž 𝑏𝑒𝑛𝑒𝑓𝑖𝑑𝑠 β„Žπ‘Žπ‘€π‘Žπ‘˜π‘’π‘™π‘Žπ‘›π‘– π‘˜π‘–π‘™π‘Ž π‘šπ‘Žπ‘Ÿπ‘Ž,𝑛𝑖 𝑛𝑦𝑖𝑛𝑦𝑖 π‘šπ‘šπ‘’π‘–π‘€π‘’π‘˜π‘Ž π‘›π‘–π‘˜π‘Žπ‘šπ‘Ž π‘šπ‘›π‘Žπ‘‘π‘Žπ‘‘π‘’

Anonymous
0
0
2024-04-13 07:48:40

I know this handwriting 🀣🀣🀣

Anonymous
0
0
Your Comment has been sent
Your Comment is too short
2000 characters left