Confession #893

#893 284

Nimekaa na mume kwa 7yrs akiniambia atanioa mke wa pili na alipata na watoi wawili bt January tulikosana kidogo akaniambia yeye Hana Hana ya kuoa nikiona wakunioa yeye Hana shida ,Jana nikaleta mwanaume kwa nyumba yangu juu yangu iko karibu na yake vile alimwona alileta shida mbaka ananiitisha matress alikua ameninunulia,na imergine ni yeye aliniambia nitafute wakunioa

July 5, 2020 |
1
0
Your Comment has been sent
Your Comment is too short
2000 characters left