Confession #926

#926 105

Nimekua in a relationship for two years na tuko na mtoto so huyu jamaa since Corona ianze haendi kazi clinic natembea na distance ni 6km from where I stay to town,mtoto ako 8months shida pia ni wanawake sometimes nikimpata na mwanamke napigwa nikitoka ananiambia niende nifanye umalaya hakuna kitu ntafanya maishani mwangu advice me on what to do

July 11, 2020 |
1
0
2021-01-13 21:31:40

The bible says… Flea away from Satan and it will flea away from you….my sister why be in that situation yet you can look for something to do and raise your own kid

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:40

you know the best advice si kutoka juu wen ppl say these kumbukeni mungu hapendi msambaratiko wa ndoa,in most cases ata wale walio na watoto kabla uolewe usikimbilie ndoa pasi na kupima kima cha mapenzi,pili juwa mwanamume akiwa hana job ama pesa akili yake in a over speed,inahitaji cooling mechanism, na mtu ambae yuko makini,unganeni msonge mbele juu ata ukitoka,unaenda wapi dadaa,shika ndoa yako, na Kama alikupenda ukiwa na mtoto shukuru sana

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:40

Ktu ya kwanza nakuabia mtu yeyote akupigae huwa akupendi waxubiri nini?mtoto mmoja haaaaaaaaaaaaa toroka mbio ujui next itakuwa aje unapoteza mda kaa randa nanii?

Anonymous
0
0
Your Comment has been sent
Your Comment is too short
2000 characters left