Confession #502

#502 126

Nimekua na Bibi kwa miaka 4 tukabarikiwa na tudem 2 but all in all nimeachwa nanikakubali maana mapenzi sio bay force nilitia bidii kufanya juu chini wapate kula na kukunywa na kujilembesha lakini hajaona hayo yote nimefanya tulikua twende kwao mwezi wa 6 huu mwaka but ameniacha nisikushidwa nimeshidwa na kazi kitandani ama nikakosa kumpa chenye anataka. Wapendwa nahisi kama naeza toa huu moyo nife niondoke. Kwa kweli aliniambia mapenzi yangu yameisha kwake nahataki kuniona Wala kuskia sauti yangu. Najua vizuli kutoa nguo nikuoga. Niliamua niwe na ndoa lakini ameimaliza mwenyewe. Nauliza 2 kwa upole maana akiniacha watoto hatujakosana nasina ubaya nawatoto nawapenda tena sana

May 8, 2020 |
6
0
Your Comment has been sent
Your Comment is too short
2000 characters left