Ningependa kuongea na wanaume apa, ndoa si kitu rahisi na si ngumu, but wewe mwenyewe uneza fanya maisha yawe ngumu, ukioa mke hauoi kwa faida ya familia yenu nop, unamuoa kwa faida yenu wawili, then mbona una muoa mke angali mdogo kimapenzi na unamwachia wazazi ww uko kikazi y, stay with your wife na Kama ni ngumu ukimuacha nyumbani make sure every month unaenda kumuona coz anakuitaji kwa karibu, la sivyo usianze kulia eti bbi yako si mwaminifu coz ww ndo utakuwa umeleta iyo shida, so let’s protect our wives from temptations. La sivyo utalea watoi c wako na usilaumu mtu jilaumu mwenyewe. Thanks nemeenda.
May 31, 2020 |
Wengine wetu tuliachiwa wazazi.we end up being mistreated by parents and the man doesn’t care he blame u for everything.ndio nayapitia Saa hii