Confession #779

#779 299

Ningependa kuongea na wanaume leo: plz brothers, Kama una mke, ni nini hupati kwake yenye inakusukuma hadi uone mwingine kuliko mkeo, kumbuka ukimtunza wako vizuri atakuwa tu Kama yule mwenye unamezea, Kama kuna penye hafanyi vizuri mkalishe umwongeleshe, na atakuwa vile utakavyo, zile style unapewa kule nje ata kwa nyumba au kwa mkeo zipo tu ni vile hujamwambia wataka ivo, wengi wetu ni tamaa na tamaa itakuangusha tu bure mkeo atakuacha, na wake pia jaribu kuvaa smart na kuwa smart kila mara na kumpenda mumeo huku ujifunze kuambia mumeo maneno mazuri kila wakati, but waume plz penda mkeo nae atakufanyia lolote au chochote utakacho, ni haya tu kwa leo, stay safe ad love your partner. 🚶🚶🚶🚶

June 8, 2020 |
2
0
2021-01-13 21:31:34

Hakuna mahali imesema women love your husband,it says men love your wife and wife respect your husband

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:34

Well said but I will always say you pray for your partner.For men atafuata mwingine mkiwa na yeye kwa macho.Its their nature.Love them n pray for them

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:34

Waambie…na uongeze volume Kuna wengine hawaskii

Anonymous
0
0
Your Comment has been sent
Your Comment is too short
2000 characters left