Confession #1470

#1470 183

Nini ndo inakuanga shida unataka mimba but hupati na unapata periods kama kawaida ama nivumilie nitashika tu coz am really stressed up. Married Since 2018 but tulikua tumepart then tukarudiana but we have a kid almost 3 yrs..nlirudi kwake oct na since then natafta mtoi but hakuna dalili. But ukiwa unapata periods kama kawaida si kuna dalili utapata ama pia wenye hua hawapati watoto hua wanapata periods?..”

January 28, 2021 |
3
0
2021-02-02 11:54:23

See a doc , sometimes low sperm count dew to improper diet etc

Anonymous
0
0
2021-01-29 04:09:08

Yes ata tasa anapata periods.
Have you checked your rhesus factor status?

Anonymous
0
0
Your Comment has been sent
Your Comment is too short
2000 characters left