Confession #415

#415 157

Nko na mtu hatujajuana Sana lakini Ni mkubwa Sana ananishinda miaka karibu 30 ananipenda na hako na pesa ananifanyia Kila kitu anataka kunioa lakini tatizo Ni hiyo umri inanifanya nimchukulie Kama sponsor kwangu nifanyaje?

April 22, 2020 |
4
0
2021-01-13 21:31:18

Usitumie akili ka kofia Mami🤠🤠🙋

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:18

I think he’s older than your father,ukienda pale utambia wazazi nimewaletea baba yenu ama?

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:18

Kwani unaolewa n miaka? Wacha kutusumbua nani

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:18

It’s tricky..not tricky but very very tricky

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:18

Uyo ndo mxuri.anakufa anakuwachia mali.usiwache iyo chance mama

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:18

mapenzi ichaguagi ata kama ako miaka 100 bora awe amekoma akili miaka ckitu

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:18

Aaaai ata kama c husema age is just a number hiyo imezid ,,ingekua 15 and below at least,, bt life ni yako dea

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:18

Nenda kwa doc ucheki afya kwanza kwani hakua na marriage

Anonymous
0
0
Your Comment has been sent
Your Comment is too short
2000 characters left