Confession #544

#544 346

Ok I’m a mother of 2 kids, boys. It was last year November one day after graduation of my last born joining grade1. The graduation went well and we headed home with my son’s. Following morning woke up and prepare breakfast, as always I pray before going to work. Prayed na nikaamsha my big son kwa sauti ya chini nikamuonyesha mahali nimeweka pesa ya lunch. Told him plz be careful mkicheza, take care of ur small brother, be careful na stima, msiwashe gas. Phone yenu nimeweka credit just incase kuna shida plz call me. Msiingie kwa jirani plz mtulie. I left for work. Nikiwa kwa mat my heart ikawa haina amani.i took my phone called my boys ( son a u Ok? Na ur brother? Mum yes tuko Ok, all is ok mum, he assured me. I’m employed. Job ni kitu 45 minutes kwa matatu, all was well but again at around 10:30 went to a room nikaomba coz I was worried. Prayed na nikaendelea na kazi. My boss hawakai huku but mtoto wao by then was around. Nikafanya job hadi kitu 1:00 mchana ni my lunch hour hadi 2:00. At around 1:45 My phone, son Calling 📞…..Part 2 kwa comments.

May 13, 2020 |
3
0
2021-01-13 21:31:23

Waiting…..leta part 2 jamani

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:23

Me: Hello, her: umeamkaje huko? Wajukuu wako salama? Kabla nijibu, her nimekupigia coz nataka wajukuu wangu waje kwangu hii likizo yote. Fare nitakutumia. And I told her pole mama juu regan aliumia jana na amelazwa. Her what? Mbona hukuniambia? ako wapi? Baba yake anajua? mko hospital gani? All I told her is that amelazwa na nikakata simu. Nikaaza kujiuliza why did she had to call today? Mbona leo ndio anataka wajukuu? tangu nitoke kwa boma lake hawajawai shughulikia my kids mbona yuko ready hata atume Fare? 5 minutes later omudady calling, maswali na kunilaumu mbona sikumuambia, my answer was mtoto atapona. He hug up. Sms mpesa 1k from him, followed by a text plz update me on everything

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:23

Hakutaka kula nikaenda hapo inje kuna shops nikabuy milk akakunywa gave him piriton na within some minutes alikua ashalala. Tukabaki na mama brenda akaniuliza what happened sijui let us wait akiwa sawa ataniambia. So now it’s time arudi home, ok nitakuja kesho, she left but shingo upande. Bibi ya pastor called nikamuambia vile kumeenda na she comforted me, nikamuuliza how is my small son doing akasema he’s Ok, nikaongea nae kwa simu na nikamuambia ukule na usilie mum na ur brother watakuja tuko hossy, I can hear him carrying but I have no choice. Mtoto wa boss called nikamuambia kila kitu akasema he will come kesho. Kwa ward ni watoto wamechomeka, wamevunjika mikono, miguu. Nikaketi kando na my son hakuna usingizi hadi around 4 morning nikapitwa kidogo na usingizi. Kilichoniamsha ni a call from mother in law, shock on me, huyu anataka nini asubuhi hii? Na hata sikumbuki tukiongea lini last, kwani kuna nini. I picked her call it was 6:07 Morning uji ya hossy inalitishwa. Me:

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:23

Mimi: nilikua job wakanipigia nikapata ashaumia so mpaka atulie then tutamuuliza. Doctor akanifuata hadi ward kumuangalia akasema hawawezi kumfanyia chochote hadi kufura kuishe. He will be on painkillers hadi akue ok. It’s now kitu 7 jioni. Doctor akasema apewe piriton na akule alale

Part 3.....cont...
0
0
2021-01-13 21:31:23

Distance kidogo to main road, kufika matatu front seat ndio nimshikilie mguu, thanks to that driver hakusubiri gari ijae mbio hossy it’s now around 4 jioni, kama unavyojua hossy za gava, kila kitu ni polepole. Nikaenda mbio hadi kwa kuandikishwa nikaambia one of the nurses my son situation akaja akamuamgalia, akaita doctor in charge, kuja akasema before anything apigwe picha kwanza ndio wajue what next. Nikapewa wheelchair hadi room ya picha, kufika 2 people ndio sisi. My son is in pain. Our turn came akapigwa picha na tukapewa cd tukasomewe na doctor, kabla tutoke hapo nurse akaniambia his bed is ready, ni kulazwa kwanza. Nurse akatupeleka kwa ward akamdunga sindono mbili za uchungu, took the CD hadi kwa doctor in charge, kuna watu watatu mbele yangu. Seated waited for my turn, mama brenda nimemuacha ward na my son. …..my turn nikaingia na the CD, akaweka akaanza kunionyesha: mguu wake umevunjika, I mean amevunjika mfupa kwa paja. Doctor alikua anafanya nini?

Part 3....cont...
0
0
2021-01-13 21:31:23

I controlled tears to make him strong. Wife wa my pastor akaniambia nimemsugua but lazima tumpeleke hossy. Took a deep breath na nikatoka nikaenda kwa road kuchuka tuktuk to hossy. Came back took his 2 t-shirts na sweater yake kutoka boss wa huyo maid ( mama) akatokea mbio ( mama Regan nimeambiwa mtoto ameumia? Mimi yes nampeleka hossy, wapi? Sijui. Mwenye tuktuk akambeba na nikafuata my small son analia mum twende na wewe, but I had to leave him behind but aende akae kwa bibi ya pastor wangu. Boss wa yule maid ( mama brenda akanifuata, tukaenda to a nearest private hospital coz nilitaka ahudumiwe haraka, kufika just by looking at him na vile amefura wakaniambia plz huyu mpeleke msambweni district hospital huko kuna machine zote na madaktari wa watoto wako huko, I had to carry him since tuktuk ishaenda. Nikambeba kwa mgongo huku nimeshikilia huo mguu umeumia, analia kwa uchungu, mama brenda nae na handbag yuko nyuma. Distance kidogo to main road, kufika matatu front seat ndio nimshik

Part 3...cont...
0
0
2021-01-13 21:31:23

Part 3..mama yenu amekuja….back kidogo after we separated na omuhubby alikatalia birth certificate za watoto nikambembeleza kila wakati ananiambia nakuletea hadi nikaamua kutafuta zingine so I regesterd na wakanipatia mda nisubiri. I pay nhif mwenyewe so I wanted to add my kids kwenda kwa office nikaambiwa zikitoka certificate nipeleke wataadd my kids kwa my account. So by then hawakua covered. But now yes they a covered. So nikatoka kwa mlango, huyu maid aliponiona akasema Regan yuko hapa ndani, kwenu? Yes. Kuingia my son was down kwa floor, in tears, in pain, mguu umefura hadi huoni goti anatoka jasho, beside him ni bibi ya pastor wangu aliitwa na my landlord juu wanajua she’s my best friend na tuko tu neighbour’s. Kwa plot yetu wamama hawashindi kwa plot so hakukua na watu wakubwa except landlord na bibi yake, tried to make him stand but hawezi. His brother was crying too. Between me and my kids we had 1000 Bob, all my savings ziko kwa fixed account.

Part 3
0
0
2021-01-13 21:31:23

Part 3 paid mama….leta hiyo continuation

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:23

Let hiyo part 3 please…..please…ikuje.

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:23

I was kimya mpaka akanifikisha kwa stage. Nilishuka na kumuambia thanks, him: plz update me. Nikasmile tu ok. Kwa stage na kwangu ni kitu 5 minutes but ni tuk tuk ama bodaa inaeza ingia juu nyumba zimeshikana. I ran kufika kwa plot watoto wote wananiambia regan ameumia, went straight to my room, hakuna mtu, mlango uko wazi, kwa meza food ya lunch, chapoo na beans. Is this a joke or maybe it’s fool’s day? Where are my boys? Wameenda wapi tena? nani amempeleka hossy? How bad is it hadi wamesahau kufunga mlango? More questions with no one to answer. Nilasikia yule maid kwa lango wao, mama yenu amekuja….
Part 3…..👇👇👇👇👇👇👇

Part 2...cont...
0
0
2021-01-13 21:31:23

Nikachukua phone ya office called again son nakuja usilie. Now this was what was making me not in peace since morning I talked to myself. Another voice told me pray before u go ask for permission to go home, I just prayed lords prayer and went to the room of my boss son. Knock knock knock, he opened, I couldn’t explain , tears and fear, he asked me what’s the problem, I told him my son ameumia na nahitaji ruhusa niende nimuone, alisimama like 5 minutes thinking then ok u can go. Nilishuka kwa hizo stairs mbio. Nakajiambia let me call bibi ya pastor wangu atangulie kwangu amfanyie first aid before nifike coz she was hapo tu karibu, her phone number was off. Nilichukua my handbag na to the gate, napanda mat tu hivi kuangalia nimesahau phone, nikashuka back to work nikachukua phone kumbe mtoto wa boss aliniona nimechanganyikiwa, alishuka akaniambia wacha nitakupeleka. Kumbe hata uniform sikua nimebadilisha. So tukatoka akanipeleka coz alikua na gari. I was kimya mpaka akanifikisha.

Part 2...cont...
0
0
2021-01-13 21:31:23

let me take u back kidogo, plot ninaishi ni zile plot we share toilet we share mahali kwa kuteka maji na kamba za nguo we share, landlord hukaa hapo na his family. So hiyo plot iko na family 5 na kwa kila family kuna mtoto mmoja ama wawili + watoto wa landlord. Na hapo kuna mama mmoja ako na maid na kuna mwingine anaishi na mtoto wa brother yake and the girl was in class 7 but ni mkubwa she is kitu 15 yrs. So my phone was calling, on the screen was my son’s number. Now I was shaking the fears, nikakata and I called back, but the line was busy. Again son calling I picked, on the other end was a girls voice( mama Regan, Regan ameumia mguu) me: ati? Yes ameumia mguu wewe ni nani ni maid wa mama brenda, I took a deep breath na nikakata simu, after some seconds I called again, ring … she picked the phone again and told her mpe Regan simu, nyuma nasikia my son crying mum nimeumia, wapi ? Kwa mguu, ukifanya nini? Mum nasikia uchungu. Credit ikaisha…

Part 2
0
0
2021-01-13 21:31:23

Iko wapi part 2 hapa?

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:23

Part 4??? Where is part four?

Anonymous
0
0
Your Comment has been sent
Your Comment is too short
2000 characters left