Confession #1577

2021-02-18 03:19:39

Veeeery true, watu waokoke hizi ni nyakati za mwisho. Aliye na sikio na asikie

Anonymous
0
0
2021-02-17 19:27:22

Kwenda uko! Kwani since 1000 years ago, Christians hushinda wakisema inaisha. Wacheni vitisho. Na kuisha na kuokoka zinaingiliana aje?

Anonymous
0
0
2021-02-17 18:51:09

ukweli hio. One of the few woke ones

Anonymous
0
0
Your Comment has been sent
Your Comment is too short
2000 characters left