Confession #631

#631 106

On 27th sep 2016 hosi za government doctors walikua wamegoma so nikaenda private doctors wakanikataa bp yangu ilikua chini.nikapanda gari nikaenda Kenyatta hospital.I was a lone my best friend mwenye angenipeleka nilimwachia first born wangu.soo ilikua my first time kuenda Kenyatta so I had to ask hapo kwa gate labor ward iko floor gani.soo mwenye niliuliza was a jamaa alinindanganya yeye ni doctor atanionyesha by the tym nilikua nimeanza kuleak blood nanilikua najikaza.jamaa alinipeleka mpaka 5th floor na ni miguu akanipitisha maroom mingi hazina watu bila kujua place napelekwa nikamfuata tu.tukafika kwa room ingine ilikua na meza kubwa na kiti moja akaniambia aty tumefika na yeye dio daktari aty nitoe suruali nikaogopa nikaanza kurudi nyuma nikifungua hizo doors zote mpaka nikapata madam alikua anafagia.nikamulizia huku ni wapi.nikamsho the whole story dio akaniambia labor ward iko ground. Kufika ground ata kama sijaona daktari mtoto dio huyo nikazalia kwa floor.sijui niseme nini coz my 2nd born daughter alipata injury yenye ata daktari hakunotice I lost the baby after 3weeks

May 23, 2020 |
2
0
2021-01-13 21:31:26

May God Purnish that Man.. Wherever he is..

Anonymous
0
0
Your Comment has been sent
Your Comment is too short
2000 characters left