So I got this uncle of mine amekuwa akitaka kunipeleka college since I finished highschool in 2020
So time ya kuenda shule he goes silent,nampigia anakosa kushika,all those years,
So he called me last year December akaniambia nijipange kuenda shule this January,mind you me,Mimi ni hustler,napata doo kiasi Sana ya kunisustain mimi na my little sister,sina mtu wa kutegemea hata,since my parents passed away
Now ako willing Ku kulipa school fees,lakini nijitafutie the requirements,and how to sustain myself there
What do I do?
jumia has a program called jforce google and see if it suits you trust me its legit i am currently working as one.