Confession #577

#577 133

This is what I found on my baby girl diary!it shook me!!barua kwa baba, Daddy najua ulienda na ukamove on,na hata ukasahau ulikuwa na mtoto pahali,NI SAWA!! lakini usilolijua ni kwamba makosa yako ni Mimi uwa nalipia!sijui ulilomfanyi mama,amebadilika Sana,hata hapendi kuniona,amekuwa mkali,hata anapokasiriswa na yeyote,yeye uniletea makasiriko yake na ufokea Sana,hata nikimuona kwa mbali moyo wangu usononeka Sana na maswali mengi unijia,je ni Mimi nilifanya muachane na je Kama sigesaliwa mgekuwa pamoja?na je majukumu yangu ndio uliyoyaongopa?ama malengo yako alikuwa yapi?lakini hayo yote uwa sipati majibu,ni SAWA tu!!NINAPO mtazama mama vizuri uwa napata jibu moja kuwa mama alikupenda saaaana,lakini ulivuja moyo wake!mama aliumia Sana,ndio maana anaponiona anakukumbuka,……..Sasa baba nifiche zura yangu wapi?ili mama apate amani, Daddy makosa ni yangu kweli?kwa Nini nipitie haya kwa sababu yako!why why why why Daddy why???waaaw nimelia yangu yote.

May 17, 2020 |
1
0
2021-01-13 21:31:24

You should love your child aki ama utafanya akue na depression it seems unamtesa make a change otherwise kesho utalia

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:24

Afadhali umeona hiyo barua mapema from now change..Hawa ndio watoto siku hizi wanajinyonya watokee shinda..

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:24

How old is she pls?? Penda mtoto,take her out moungee mahali palipo tulia,take care before it’s late plz

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:24

Rejection is the worst thing to experience, kindly talk to your girl and make peace, be her friend and give her much love. Have gone through this with my mum life rejected me I struggled to make things work until I realized it’s only Good who can turn around situations, but it’s tough,

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:24

The much I love my son,it makes me forget about the idiot deadbeat.mummy penda mtotoako

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:24

A child is a blessing to a woman and not a man,a child is the only sure bet u know u have but a man u can never bet,so why make ur own kid suffer just becoz of a sperm donor,love her,take care of her,she is URS to have and to keep,feel blessed to have her

Anonymous
0
0
Your Comment has been sent
Your Comment is too short
2000 characters left