Confession #1537

#1537 135

Unakula nao, unalala nao, hapo hata hapo ulipo wapo.
Wamevaa ngozi ya kondoo kumbe chui.
Wanajifanya marafiki kumbe maadui.
Eeh cheza nao mbali !
Eeeeh cheza nao mbali !
Eeh cheza nao mbali, mbalii mbalii eeh!!!!!!

February 11, 2021 |
4
2
2021-02-12 16:41:14

Sam wa ukweli, MHRIP

Anonymous
0
1
2021-02-11 07:22:53

Hehehe…tuambie story yote baba. Nini ilihappen?

makacieth
0
0
Your Comment has been sent
Your Comment is too short
2000 characters left