Confession #889

#889 74

Yesterday I went to buy something,then the old man told me its 4500,then I told him I have 3k,akasema leta,nikaona as if sijabargain vizuri, nikasema nataka kuiona vizuri size,ikatolewa,nikamwambia ia,2500,aliniambia kwenda huko wewe😂😂 utabargain to 100😂,wee nikaona amejam nichukue na hiyo 3k since supa ilikuwa around 4700,nikamwambia wacha niende nitoe pesa nikuje,akaniambia usikuje,ulikuwa unanunua na huna pesa, jesoo,then akasema weka kwa simu yangu,nikamtumia,akaniambia enda sasa,there was a young gal there alikuwa amemkasirisha na alikuwa ameitiwa mzee mwingine amwongeleshe wakikesi

July 5, 2020 |
2
0
Your Comment has been sent
Your Comment is too short
2000 characters left