Confession #310

#310 90

Yesterday nikiwa job my wife called me akilia..Hakuna kitu niliskia… It was the most devastating thing ever in my life… A million things zilikuja kwa mind. Kwani nyumba yangu imechomeka? Kwani ndugu yangu amemtusi coz hio siku nilimwacha kwa hao? Kwani mtoto ni msick? I didn’t know what to think… Mbio mbio nikakusanya laptop bag yangu mbio kuelekea parking… Aki shetani ni nugu sana… Kujaribu kugurumisha gari ikakataa kabisa…. I didnt know what to do… Nilikua nimechanganyikiwa kuliko Uhuru wakati aliskia kuna Corona Kenya🤭🤭I tried calling her number ikawa mteja… Nikajaribu ya ndugu yangu pia mteja… Hapo ndio nikajua kuna kitu kisicho cha kawaida 😢😢😢I thought of calling my neighbors but nikifikiria story ya kuanikwa nikasema Wacha ikae…. But Nooo lazima nijue mtoto wangu kama ako safe… I called one of my neighbors. Nikamshow aniambie kama ameona anything suspicious kwangu coz nimejaribu kupiga simu zote huko haziingii na aniambie kama mtoto wangu ako poa… Ile Jibu alinipatia aki I felt like fainting.. She was like ‘, mtoto ako kwangu niko na yeye hapa, nilimpata akitoka nje ya gate.. Alafu msichana wako wa kazi wamejifungia ndani ya nyumba wanafight tu wakiitishana pesa, Kwani hamlipangi huyo msichana wa kazi pesa?’ And I was like pesa gani🙄🙄🙄Sijawai kosa kumlipa… Waah I felt like collapsing… Hapo nikamshow anikalie na mtoto ndio before nifike… Nikachukua taxi mbio mbio kwelekea kwa hao.. Aki nilikua naona ni kama hio gari hai move… In 20mins time nilikua nishafika, nikalipa taxi.. Mimi huyo nikafungua gate.. Kwenda kuingia 🤭🙉nikaamka.. Kumbe ilikua dream😌😌😌f👯👯👯👯👯👯👯👯holy ghost fire🤣🤣🤣

April 1, 2020 |
1
0
2021-01-13 21:31:13

Gosh to think i was beginning to empathize

jiyus
0
0
2021-01-13 21:31:13

Rudi kwa bed uote ukikojoa

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:13

Na vile nilikua nime follow lala uote tena

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:13

Kwenda uko na vile nimeshtuka

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:13

😂😂😂😂😂😂😂😂😂 rilly na vile nimetensi kusoma, f**k that dream.

Covid19
0
0
2021-01-13 21:31:13

Meaning Ya dream hio ni soon you will get bankrupt.

#
0
0
Your Comment has been sent
Your Comment is too short
2000 characters left