Confession #318

#318 242

Haya, this morning I’ve sent my neighbor’s son to go buy me some breakfast (milk& scones) because I didn’t want to wake my kids up coz they watched movies till late last night so I didn’t want to bother them, now this boy’s mother is passing outside my door breathing like a wounded buffalo throwing some insults to me indirectly ati watoto wake sio wa republic! Something is telling me to give her one hot slap but I don’t want to touch her coz of Corona but my guy is telling me to tell her to either shut up or he goes for her! Tell me what to do guys coz she’s getting too much!! Staki kuumiza mtu and mind you nilimpea huyo Mtoto 20sh to appreciate him!

April 4, 2020 |
5
17
2021-01-13 21:31:14

😂😂😂this is justtt killin me

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:14

Ati utume wangu ukiwa umelalisha wako?. Unapatia mtoto wangu pesa umeskia ni nini amekosa?. Kila kitu umetumana ningerudisha kwa duka afu nikuitie pesa zako nje. Ningekupasha sawa sawa na ukileta ujeuri nikutandike na hakuna mahali utanipeleka. Ati bae anasema kunyamazwe ama?. Kama ni mwanaume si angekuwa nje already. Muoga yeye. Ningewachapa wote pamoja. Hauna hata haya kufikiria kujaza kikapu yako ya tumbo kupitia mtoto wa wenyewe.

Jael
0
0
2021-01-13 21:31:14

Ningekuwa huyo mwanamke ningenyamaza nikungojee corner mbaya nikuvunje mbavu.
Iko ghasia ingine ilikuwa imezoea kutuma watoto wangu kama nimeenda job. Nilimfanyia kitendo to date akiniona anakata kona ni kama ameona shetani.

Liz
0
0
2021-01-13 21:31:14

You are evil, b*****d, foolish, idiot, we can’t even call you human being but a wild beast. Yaaani, you and your useless family are so special that you can not go to the shop and buy yourself a*****e things ati,”I have given him 20/=to appreciate” I wish I was his mother.

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:14

The first comment dictates our direction 😁😁..nwei it’s veeery wrong ..sit yourself down na ujiulize this morning kama ni hao kababa wako ungepata wametumwa ungereact aje??you have the answer right??

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:14

Siwezi tuma watoto WA wenyewe wangu wakiwa Kwa nyumba, it looks like an insult
Inakaa umezoea watoto WA wenyewe kuwatumatuma and maybe you don’t even talk to their parents ,hata mimi siwezi kubali

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:14

Uyo mtoto si mjanja ata iyo doo angekula…i rem my mum telling me kuna mama alkuwa na iyo tabia ashinde akituma watoto wa wenyewe my friend kuna mtoto altumwa na 50 bob sabuni arudishe 40 bob alibuy sweets za 50 akagawia mabeshte na mind you ni late 90’s so 50 bob was sth…mamake alipoulizwa akasema hajaona mtoto wala sweets buh if its true aache kutuma mtoto wake

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:14

ungetuma wangu izo vitu ungezikuta kwa gate Kama nimezitupanisha ukuje tuonane vizuri juu nikama uliniona usiku n ngiza giza Kam try mi👌

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:14

You need two hot slaps foolish human being. Sasa wewe na bwako mko two idiots in the house. Nonsense. Mimi naeza kuchapa hustuke mkia wewe

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:14

If you feel like your kids are too special to be woken up to go buy you breakfast stop nagging your neighbours kids ama uende mwenyewe and shame on you 😡

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:14

You should have waited for your children to wake up n ran your errands or better still ungejiendea breakfast yako.This is so mannerless.Shame on you.

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:14

Ng’ombe hii wako wamelala hii baridi unatuma wa wenyewe ati wako wamelala, ingekua Mimi ungekiskia….worse of it unalipa mtoto after kumtuma.unataka kumharibu na pesa.?? Do you pay wako ukiwatuma?

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:14

xo ua kids are so precious to be disturbed coz waliwatch movie until late? wanani ndio messengers a plot? hebu tuachishe naww!

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:14

Why couldn’t you go yourself or your husband,if you can’t wake up your kids do not use someone ‘a kid without consent!!you need to apologize you are wrong ,and your husband can’t advice you either on the right path !!!!!

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:14

Uliomba ruhusa ukifanya hivyo😏 na wewe mbona hungeenda instead why are you risking a child’s life with this corona issues. 😒Wake your kids up and let them help you one way or another hapo ndo laziness huja. Ukiwatuma watakataa😏😕

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:14

Hey b***h send your own kids

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:14

send you own kids to the freaking shop lady

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:14

Thicwo gati gaka, you think yours are so special beech, ngui

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:14

for sure you have the guts the audacity to write such ???you and your guy May corona take you.ati your kids are where,?????shame shame shame on you.treat other the way you want to b treated nkt

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:14

the fact is that you did the wrong thing…suppose something bad happened to the kid?”God forbid”…more So..it always good to seek permission from a parent before sending their kid. ..lastly. .if it were me ..my kids even if they watch till dawn ..and they are not going to school..they’ll have to fix breakfast and go for escorts by themselves as longs as they are of age…

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:14

I don’t bother kids of others so I don’t expect you to bother mine,
But still kutuma mtoto sio makosa lakini tumia adabu,
Nauma vidole ingekua Wangu umetuma alafu uropokwe ivo unajaribu, huyu neiba ako sawa sana kama hajaingia bado.

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:14

Why do you let your kids watch till very late while you know you’ll need to send them in the morning, your lucky that mama gave you cold war if i was the one ningekutoa kwa hiyo nyumba na makofi na mateke ujinga ndio sipendi nkt

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:14

Na huna hata aibu ukiandika hivi. I wish nijue uko wapi saa hii nikuweke pingu. Mbona hukutuma hilo lidume limelala likirarua nunu usiku wote? So mtoto wa neiba ndiye siye wa maana apatane na Corona kwa njia? A very big shame on you…Gatii gaka!

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:14

My son..sio PSV kid pia.deal with your own problems …Na sio charity case at I unamuappreciate Na 20 bob…anyway let me stop ranting ciz wangu ata umutume haezi end a without asking permission from me

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:14

U like my neighbour mom frida who sent my kid to go n kopa always na pampers za mtoi wake had mtu Wa duka akaniuliza ka nitalipa nkianza kunyesha next time

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:14

Me myself and I hate when someone is sending my kid for an errand,then this a fight between u n her(woman to woman)how comes bwanako anataka kumuendea nje😂😂so funny anyway,kwani amekaliwa

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:14

My neighbor did the same, met my son with money and asked him anaenda wapi. Eti mama nani amemtuma kwa duka cause watoto wake wanakula 😡😡😡,hiyo siku ndio huyo mwanamke Alijua wajaluo wana mdomo 😒😒

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:14

Wewe uko na shida kubwa. Kuna corona halafu you so daring kutuma mtoto wa mwenyewe kwa duka ati coz yours are sleeping, what the nerve. Learn some manners, put some routine for your kids, heshimu watu bana eish!

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:14

Lord I wish I was your neighbor,ningekutoa huko ndani ya nyumba atakama huyo mtoto sio wangu,shenzi type send your own children na uwapatie hiyo 20 Bob,ingekuwa wangu haungekuwa unapost sai,ningekuonyesha drama ndio ujue kuheshimu watoto wa watu!!!useless b***h!!!

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:14

Tuma uliye zaa….Don’t worry you are teaching your neighbours child to be RUDISHA…but your kids to be a snail.lazy bones

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:14

Na hii corona you are sending someone’s child to the shop?, so you think 20 is worthy her/his life??

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:14

Even me I could do the same. Y didn’t u not go alone or send your man? U think your kids r special than hers? Shameless woman.

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:14

Kids stopped kukua wa community long time ago. Mtu apambane na hali yake na watoto wake

Marrha
0
0
2021-01-13 21:31:14

Woi….Siwezi kubali utume mtoi wangu na hii corona, siungejiendea mwenyewe? Mimi ningeku face live, hio hot slap ni Mimi ningeku patia

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:14

Mtu akituma wangu namgonja kwa gate nachukua hizo vitu kisha najifungia kwa nyumba

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:14

Mtu akituma wangu namgonja kwa gate nachukua hizo vitu kisha najifungia kwa nyumba

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:14

I hope this is a joke.if it ain’t,you deserve to be whipped.

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:14

See this one ..ur kids wako comfort zone then u send someone else’s…mbona hukuenda..family of lazy fools…mi ungeniona

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:14

wewe ndio unafaa kuchapwa….tulia tu next time kama utaki.kusumbua wako,wee.enda kwa duka mwenyewe…i bet wee sio kiwete😂…usinitukane pris,

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:14

I wish u sent mine, I could give a hot slap. Nowadays we don’t allow kids to get out of the gate. Style up ,go and apologise

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:14

Instead of sending another woman’s child why dint you go?!If it was her who sent your baby how would you have felt? Plz tell us.

Shenji
0
0
2021-01-13 21:31:14

😂😂😂😂 heri huyo mtoto ata alienda 🙆‍♂️🙆‍♂️ kids from coast just look at you and say staki

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:14

Ingekuwa wangu kupumua tu ungekuwa ushapiga nduru, then nikuelelee vita mzuri kaa ile raia wanapigwa juu ya curfew

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:14

Wachana na watoto watu….wewe mwenyewe hauna miguu….ama haujui Kwa Duka……..your kids be sleeping then unaenda Mtoto was neiba…… nonsense

Gashwin
0
0
2021-01-13 21:31:14

Aii,where do you get guts to send people’s kids ovyo ovyo ,even without their mothers consent?if you are in here and you are the type,just stop it,you could have gone to the shop yourself or just send that special husband of yours!wengine hutuma people’s househelps.anways when you wrote your kids were asleep,nimejua hii ni post ya kuona Corona effects hapa za wamama (you are having a field day I know 😂 with the comments )

Carol
0
0
2021-01-13 21:31:14

Just toka uongee nae kama mzazi …tell her u had no bad intention when ulituma mtoi wake….that’s how mothers do…coz umemkosea sana

Finest Wine
0
0
2021-01-13 21:31:14

U didn’t ask for permission,,, angepotea or something who would be answerable,,,, of course its u, ,,,,apologize to her yaishe

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:14

Thank God Am not that boys mum… cz I won’t b breathing fire outside your door but I’ll pour hot charcoal in that house…. u have kids u don’t want to bother but mine u can bother … the guts of some women

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:14

I wish ulituma mtoto wangu… Hiyo maziwa ninge yamwaga kwa mlango wako… Alafu huna ata adabu ukisema ety ulipea mtoto wa wenyewe 20 bob mjinga wewe

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:14

Wewe na your guy vichwa zenu zimejaa mavi ya siafu,dare send mine and argue like pregnant mosquito I’ll deal with you n stop the raggae

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:14

Uliogopa kwenda duka n.a. fallen soldiers.then utume mtoto wa watu wako wakiwa wanalala apate corona wako aponee shameful stinking woman

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:14

Makosa ni yako ungeenda kukuuliza Kama unaeza tuma mtoto wake shop wangu hata alale asubuhi ataamka aende shop hio dio kazi yake

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:14

Hehehe hata ningukuwa jirani wako tungepigana na wee mbadala. …yani watoto wako wako special than wa mwingine siungeenda mwenyewe jinga😂

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:14

Afathali ungetuma wangu nanikutane na yeye amebeba ningechukua tu saa hii tungekua tunasherehekea chai na scones zako

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:14

Ghaaii. If its my kid ungetuma, my friend wewe na hiyo kitu unaita bwana ningewashikanisha na ukuta. But since you are joking lets all laugh😂😂😂😂😂🤣🤣

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:14

But makosa ni yako…hutaki kusumbua wako unasumbua wa wenyewe na umekasirika mbaya sana😂😂😂😂😂😂

Anonymous
0
0
Your Comment has been sent
Your Comment is too short
2000 characters left