Confession #1034

#1034 144

Iam a mother of one and married.so I got married to my hubby after I did my kcse .by then he was living in thika but kwao ni embu.tukaamua nijifunze salon nisikae idle na yy alikuwa shamba boy.after few months nikapata ball,na as ndio tuweze kubuy vitu za mtoi,I had to go to embu(kwa kina hubby) ndio tuweze kusave,after kujifungua na kukaa for one and half years,nikarudi thika by then nishajua kushuka na Yukawa tunasaidiana majukumu.but I had to kuajiriwa coz hatukuwa na capital ya kuajiriwa na kukaa ushago ni stress coz ata kibarua kupatsma ni shida unless uchune majani.tukakaa for almost two years Alf akafutwa kazi ,nkamshw cz hatujajipanga tukae bado uko,alipata kibarua anaenda na mm with the little niliearn nanunua unga na lyf ikakua smooth.but Sikh moja he told me anataka kwenda home tusettle there but I was like,wacha tuende home kama tumejipanga..na anaenda akatuacha na mtoi,mm nilidelay nione kama angechange his mind,but he did not.alikuwa amesave ten thousand akanishow ataniekes job nikakubali.unfortunately lock down ikaingia tukiwa thika ikabidi tukae uko..so na yy akadecide zle pesa alime unfortunately ukulima ikamkataa n mynd you kashamba aliomba shushu yake cc ikoapa .pesa zikaisha .sasa vile tuko home,no job no money tunapewa chakula na mama take.at tyms naona wananifanyia madharau na six in law nashinda Julia kwa nyumba na ata vibarua hakuna.kwa bahati nzuri hubby akapata job uku embu last week but wan na atakuwa anakuja after two weeks.sasa shida ikoapa uku hakuna job..for instance Jana nkapata kibarua ya kulima from8-5 na n 250.kupata ingine ni after a month.sasa mm nilitaka kurudi thika nisimamie mahitaji yangu yote na mtoto na nisave kitu kidogo na yy a save yake atleast nieke job but the biggest problem is cjui ka atakubali na nko na course yangu..naskia naumia sana moyoni. I need your advice plese

July 31, 2020 |
1
0
2021-01-13 21:31:43

Pole sana Mami. Mimi sijui vile unaeza fanya lakini no muhimu pia use na jinsi ya kujikimu. Also pray about it 🙏

Anonymous
0
0
Your Comment has been sent
Your Comment is too short
2000 characters left