Confession #894

#894 91

Look, i have been dating someone for 8yrs now, I was had great hope that he will marry me coz amenipeleka home nikajua wazazi wake and his parents huwa wanarecognise as their daughter in-law….but this guy tukiwa kwa relationship he has been cheating on me…but sikua na budi kumforgive huwa namchukua kama mume wangu…last week nimekua na kwa hao nikamkuta anaongea na dem mwingine kwa simu…then nikamwambia I need a break…after that I come to realize that…nimekuanga his 2nd option…. Am real heartbroken sijui nifanye nini…..nimejaribu kumove on nimeshndwa…help guys nifanye nini

July 5, 2020 |
2
0
Your Comment has been sent
Your Comment is too short
2000 characters left