Confession #139

#139 549

Mimi ni donda ya mat ya kangemi inaitwa Dortmund but naambianga watu niko ujeru nawekanga pesa kando kila mwezi nanunua tracksuit ya Adidas juu chini kutoka gikosh mpaka na ngepa. Dem yangu mkale kama mimi but albino Yvonne ananishow niko mtamu kama nyagus ya sunguch

March 4, 2020 |
22
0
2021-01-13 21:31:09

Ghaseeer Panyaste Blary nugu

Anonymous
0
1
2021-01-13 21:31:09

Boss nisaidie tu naelewa. Hii nyaguz ya sunguch ni nini? Honestly?

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:09

Niko weed hata hizi vitu inaandika sielewi kabisa.

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:09

KT madness.. You will catch up soon

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:09

😀😀😀😀😀 next week nakuja ujeru nitakupee slices midget

Purple
0
0
Your Comment has been sent
Your Comment is too short
2000 characters left