Nilikuwa tei mbaya, nikableki nikalala mdomo ikiwa wazi. Sasa panya ikaingia kwa mdomo hadi tumboni hadi sasa haijatoka. Wasee nitaitoa je panya juu naskia uchungu mbaya? Nimeze mtego ya panya ikaishie ndani ama nimeze rat rat ikaiuwe? Advice zimuok
February 13, 2021 |