Confession #734

#734 166

Nimejifungua tu last week.I stay 2gether with my hubby.Yeye anafanya tu Kila kazi Kwa nyumba .I mean every work in the house.Sometimes najaribu nimsaidie job but hataki completely.Akieza nipata ata najiserve chakula tu hiyo ni makosa,ataona mbaya siku yote.Aki naona tu ni Kama anachoka sana.Azin nafeel tu namwumiza kabisaa…Imagine unakaa tu kazi yako ni kukula tu hadi unaoshwa.Waah!Aki mm naona tu bwanangu anachoka sana.
So,nimsaidie tu kufanya kazi akiona mbaya aone tu ama nirelax tu.
Ama how long does it take mtu kupumzika after amejifungua ndo afanye kazi ata ya kupika tu.Aki msinitusi pliz,Am writing this and talking from the deepest part of my heart.

June 3, 2020 |
3
0
2021-01-13 21:31:32

This is why I say Ladies you get confused and don’t even know what you want.. Thank God you got someone who cares.. How many married men can do that out of 100 only 5 can…

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:32

Nipe huyo bwana ako,but seriously if it’s C-section you have a long rest but if it’s normal you can work in 2days, your husband loves you dear leave alone us you give birth n work the same day

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:32

Gal it’s your time to rest and golden opportunity to know if he loves you and the baby, hizo kazi utafanya mpaka ushangae give it time oooooh

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:32

Na bythei do u know the meaning of this group ama unaota sai?? Anyway follow yua heart coz u ladies mkisaidiwa u complain msiposaidiwa u still complain sa mnadai ajez?

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:32

Unatupima akili hapa, giving birth and after one week you want to do a work,, s**t? 🙄🙄 Eti ata ya kupika, akili iko sawa kweli

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:32

first thank God u got a cading husband,mi nilieka mtoto chini hivi na kuanza kujifanyia kazi.then try talk n mek him understand you can do kazi ndogo ndogo

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:32

Sasa last week na utaki kusaidiwa? Relax my friend na eat wacha kiherehere, he knows what he’s doing. Mimi nilijifungua na sikuwa na wa kunipikia hata siku ya kwanza, shukuru munch nanii

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:32

That’s a really man, anajua safari ambayo umekuwa nayo imekuwa ngumu so, ako sawa kuyafanya hayo, u have to relax like three to four weeks then from there utakuwa sawa ad thank God u have understanding husband, so tulia na atkuachilia tu uanxe kufanya kazi mwenyewe, na ukumbuke mwanamke ni msaidizi wa mumewe ina maana mahali amelewa but Kama hajalewa wacha akusaidie ad he’s feeling proud to b with u. Nimeenda.

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:32

Wait n watch after a month or two yu will be alone..mind yu serikali ikifungua curfew utakuwa unamuona usiku wa manane.be thankful for what he’s doing

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:32

Are you stressed or depressed acha kutufanya fala instead you are too much happy that you want us to share your happiness

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:32

Sasa hii site ni ya watu wenye wako na stress na serious confessions ama niyakunjigamba? Mchwew!! Unataka kuonyesha wengine unapendwa kuwaliko?

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:32

Muchene mutaaxha lini nyinyi watu, sifa nzuri za bwanako ukae nayo utanyanganywa oo,,,siri uieke plz

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:32

Aiii madam , hi ni normal mtu husaidiwa ata ukiwa na ball kulingana na vile mnaskizana na mpenzi wako , Wee nkunyamaza utanyamaza ungonjee vile anataka bola usimshow kitu ama ulalamike ….. Watu husaidiwa kabisa Hadi upate nguvu… Bt ukiendelea kuambia watu hooo utachangaa hawapendi ata kujulikana cz watu wataanza kusema umemkalia chapoo.

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:32

Kuna wanaume hufanya Ivo, cousin yangu bwanake hakutaka hatoke,6months mzee akifanya kaxi ya nyumba asubuhi na anaenda job,sio kama uyo wako haendi job,kaxi ya kujitakia haimizagi

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:32

Pumzika mama you have to for a month,2 or 3 ni law ya Ku deliver,mm nilijifanya ninanguvu nikafanya kazi from day one, my dear friend what am facing today,i do regret sana,#Mahindii,waist,mgongo i wish ningetulia, hivyo unataka kufanya utafanya the rest of your life

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:32

Its a rare opportunity and comes once in lifetime and it will stay depending with how you treat it. Some have never seen it. Your back needs some time to heal and be strong again, ukifanya kazi mzito uteguke wale wanajua how it pains watakuambia

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:32

Do you know there women hutoka maternity,na jioni ako jikoni,na asubuhi she is milking her cows,na the so called hubby,ako hapo tu.Appreciate him.

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:32

Unafa kuka mwezi kutoka kukifungua na ukifanya kazi ujue hiyo mifupa haijarudi form na itakuretea breeding na hiyo kukuua Ni haraka,pongexa bwana ati anakushugulikia si wengi pumuzika baka akwibie amka

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:32

Binadamu mtafanyiwa nini mshukuru???angekua hafanyi bado ungetuambia tu….hebu Tulia upone mgongo na maumivi ya uzazi yaishe

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:32

What he wants is ur happiness, be happy and be thankful tulia na ujifunze kushukuru ,make him feel that u r proud of him,sio lawama heshimu maamuzi yake

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:32

See this one now,,, Mimi nilijifungua Dec akapewa leave kazini, Maisha ilikuwa hivyo tu,,,,but I understood him coz alisema hayo ni majukumu yake

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:32

Uko Kenya? I doubt if such can happen in my beloved country….I know the furthest African man can go in doing chores kama uko, nikukuchotea maji kwa dispenser n complain for a whole year.

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:32

Women dont make sense,you treat them wrong they complain,you treat them right they complain…a very confused gender

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:32

First of all congratulations ☺you are parents and your hubby is one responsible man 👊Dear lady kama amesema hataki kukkuona ukifanya chochote usifanye chochote.

Hio ni furaha yake kuona unapumzika. What you should be doing is praying and telling God thank you for blessing you with such a gentleman. Now this is the real #king.

He understands you need rest.

Nimempenda bure. Count your blessings mami amd dont agitate him 💖. Do as he says. Ukipona utamsaidia

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:32

Wewe relax and heal..mbele Kuna kazi nyingi awaiting for Yu..pona kwanza and eat well..he does it out of love hata akikulisha three months it’s good because that’s the man who knows the value of a woman…wacha zako.relax.

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:32

If I were you,mm sinanga stress if am spoiled by my love,…..najipa raha tu.mine could drive anywhere just to spoil me,nakuniamsha at 3,nioge ili I escort him to stage, imgn ako na his car,nirudi later na boda,so just relax,your back ipone

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:32

Curfew manenos ngoja tfunguliwe ttakunywa actually tutahamia kwa bars, ile cku tutarudi ao watoto watakua wanatuita UNCLE! Walitusahau

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:32

Watu wako na stress ya rent chakula ni shida nimelala njaa na watoto two days wewe hapa unalia vitu hazieleweki

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:32

So wataka kutuambia nn in short? Eti wapendwa sana ama? Basi mpe heshima lake lakutosha.usije kawa kero kwake badae.

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:32

Awa wazuri hivo mnawatoaga wapi, wee kaa ufanyiwe kazi ata kama ata fanya mwaka mmoja

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:32

Am still wondering what the problem is with us women…am sure if he wasn’t doing all these you will still be like oh I have given birth and am doing everything by myself,my husband is not helping me out with the house chores and am not completely healed!!! NONSENSE

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:32

Are you normal?? One week tuu unataka kujifanya kimbelembele uanze kazi then urmtarudi hapa kutuambia vile mgongo inakuuma na mgongo umetoka?? ( Waluhya mnaelewa hii ya mgongo). Weee, kula ukilala urudishe nguvu na damu ulimwaga, unadhani ulikua unamwaga maji?? Wacha wanaa, he knows what he’s doing & remember this is the only time unadekezwa.

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:32

Men are endangered species, when you do good..ooooh, when you adjust to normal..ooooh, na ukiwa mubaya pia..oooh, sasaa kweli, which is the best twist ama a good man is a dead one?

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:32

Wewe Kweenda uko….hubby akisaidia oh ni mbaya, asiposaidia eh ni mbaya anisaidi.. Kalisha matako chini pole pole usaidiwe…
Stress gani ikapo ww Unajua definition of stress kweli? Mtchw

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:32

Tushukuru mungu sana ,kuna wanaume hawawezi kifua hata handkerchiefs zao imagine!wah huyo wako needs a lot of respect ,congrats baba Toto!

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:32

Hio ni round ya kwanza tu round 2 utakua unamtafuta kwa hao unamkosa ukimuuliza kwan hapiki anakushoo kwan umesahau kazi yako

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:32

Stop complaining about nothing the truth is your man cares about you and your kid period you are too much worried for nothing these kind of men are rarely found when love prevails imperfections vanish for that matter respect him and adore him make sure he will never get tired of you keep adding more fire to your marriage let it lit and be a unique one a marriage that everybody would wish to have

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:32

Rubish, ask your mother, mother inlaw or your best lady during your wedding day. We have other thing to worry about here

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:32

Wangu mpaka 3 months it’s normal for understanding man,bt mshenee punguza utampata kwa jirani acha sifa

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:32

Thank God,men of that character are few,,,,Mimi nilijishughulikia from the first day after giving birth although our mum was also there but she did not bother about me

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:32

Wachana Na yy afanye Kuna cku utamtafuta akusaidie umkose….use this chance welll

Anonymous
0
0
Your Comment has been sent
Your Comment is too short
2000 characters left